Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

MsaniiMkubwa

Member
Joined
Sep 2, 2026
Posts
31
Reaction score
60
Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
 
Huu wimbo na Mimi nimeufuagilia sana Bila Mafanikio.

Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022.
Kuna dogo alikuwa anaimba sana.
Nadhani ndio huyo huyo maana sauti yake inafanana karibu 100%.
 
Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022.
kwa mwamposa 😂 😂 😂

1791418686717.png
 
Back
Top Bottom