M MsaniiMkubwa Member Joined Sep 2, 2026 Posts 31 Reaction score 60 Oct 4, 2026 #1 Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,880 Reaction score 4,295 Oct 4, 2026 #2 Ngoja waje
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 4,994 Reaction score 9,625 Oct 4, 2026 #3 uweke hapa tuuskie
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Oct 8, 2026 #4 Huu wimbo na Mimi nimeufuagilia sana Bila Mafanikio. Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022. Kuna dogo alikuwa anaimba sana. Nadhani ndio huyo huyo maana sauti yake inafanana karibu 100%.
Huu wimbo na Mimi nimeufuagilia sana Bila Mafanikio. Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022. Kuna dogo alikuwa anaimba sana. Nadhani ndio huyo huyo maana sauti yake inafanana karibu 100%.
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Oct 8, 2026 #5 CAPO DELGADO said: Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022. Click to expand... kwa mwamposa π π π
CAPO DELGADO said: Kuna kipindi Nilikuwa nasali kijitonyama 2015-2022. Click to expand... kwa mwamposa π π π
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Oct 8, 2026 #6 Makebo said: kwa mwamposa π π π View attachment 3686486 Click to expand... Usimjibu mpumbavu sawasasa na Upumbavu wake usije ukafanana naye. Mithali 26:4
Makebo said: kwa mwamposa π π π View attachment 3686486 Click to expand... Usimjibu mpumbavu sawasasa na Upumbavu wake usije ukafanana naye. Mithali 26:4
M MsaniiMkubwa Member Joined Sep 2, 2026 Posts 31 Reaction score 60 Oct 11, 2026 Thread starter #7 Hii teknolojia ya AI isipodhibitiwa itaumiza wengi kwa kweli.