Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

Mleta mada inaonekana una hisia za karibu sana!.. Hebu tafuta na hii nyimbo Billie Holiday - Gloomy sunday nasikia wasikilizaji wengi wamejiua baada ya kuisikiliza!..[emoji6]
Hebu tuwekee link yake hapa
 
Acha kilia mimi ndio sijaulewa kabisa. Naskikia kelele
 
Jamani mbona mnakuwa km nyie hamjawahi kukosea ktk hii dunia, tukisema tumtenge kila anayefanya makosa mbona hatabaki mtu, na ndo maana kukawa na neno *msamaha* tuache kujifanya sie wasafi km malaika


Alishasamehewa na Magufuli, mi nimetoa ushauri tu, huyu na babaake wawekwe mbali na watoto. Ni Tanzania tu hawa watu ndio watazurura ovyo, lakini nchi nyingine, sex offenders wako kwenye macho ya Polisi full time.
 
Nyie mmesoma mashairi yeye kasikiliza na sauti na hisia za mwimbaji labda nawewe ukiusikiliza unaweza kulia!
Thubutuuuu, yaani mimi hata nikifiwa na shangazi basi mpaka atokee mtu wa kunijeruhi na damu hasa niione tena kwa maumivu hasa, hapo ndipo jicho moja litatoa chozi.
 
Kama unalia kwa mashairi ya kawaida tu kama hayo basi una shida moyon mwako.
 
Mleta mada inaonekana una hisia za karibu sana!.. Hebu tafuta na hii nyimbo Billie Holiday - Gloomy sunday nasikia wasikilizaji wengi wamejiua baada ya kuisikiliza!..[emoji6]
Unamsikilizisha lugha zilizokuja kwa ndege ukitegemea atalia!! Sijui lakini jaribu
 
Back
Top Bottom