Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Hebu tuwekee link yake hapaMleta mada inaonekana una hisia za karibu sana!.. Hebu tafuta na hii nyimbo Billie Holiday - Gloomy sunday nasikia wasikilizaji wengi wamejiua baada ya kuisikiliza!..[emoji6]
Asisahau leta mrejesho tu!!...kwa hiyo we unamshauri asikilize huu wa Billie ajiue kabisa sio? hahaha JF never boring
GLOOMY SUNDAY hebu google ukikuta hata ya ruby isikilize tu!.Hebu tuwekee link yake hapa
Jamani mbona mnakuwa km nyie hamjawahi kukosea ktk hii dunia, tukisema tumtenge kila anayefanya makosa mbona hatabaki mtu, na ndo maana kukawa na neno *msamaha* tuache kujifanya sie wasafi km malaikaHuyo na babaake ni wa kuwekwa mbali na watoto.
Mkuu alisha kushika takor niniHuyo na babaake ni wa kuwekwa mbali na watoto.
Mkuu alisha kushika takor nini
Jamani mbona mnakuwa km nyie hamjawahi kukosea ktk hii dunia, tukisema tumtenge kila anayefanya makosa mbona hatabaki mtu, na ndo maana kukawa na neno *msamaha* tuache kujifanya sie wasafi km malaika
[emoji28] [emoji28] aiseeeMadume huwa hayalii yanaguna
lazma utakuwa mchelemchele sio bure!
Thubutuuuu, yaani mimi hata nikifiwa na shangazi basi mpaka atokee mtu wa kunijeruhi na damu hasa niione tena kwa maumivu hasa, hapo ndipo jicho moja litatoa chozi.Nyie mmesoma mashairi yeye kasikiliza na sauti na hisia za mwimbaji labda nawewe ukiusikiliza unaweza kulia!
Unamsikilizisha lugha zilizokuja kwa ndege ukitegemea atalia!! Sijui lakini jaribuMleta mada inaonekana una hisia za karibu sana!.. Hebu tafuta na hii nyimbo Billie Holiday - Gloomy sunday nasikia wasikilizaji wengi wamejiua baada ya kuisikiliza!..[emoji6]