Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

Ana tamani kulia??? Anyoroshe maneno labda anawalilia wamfanye kama walivyowafanya vile vitoto na kutiwa hatiani na mahakama
 
Punguza mihemko wewe...

Kwanza bado wana kesi ya kujibu hawa.
Na video haihusiani na kinachoimbwa.
Yaani hata sielewi kwa nini watu wanakuwa na vimuhemuhe na miamko ya ajabu ajabu kiasi hiki.
 
Mwanaume unaanzaje kutoa machozi kisa wimbo mmoja???
 
Atoe dedication kwa wale watoto waliowalawiti
 
Wabakaaaaaaaaaaaaaaaji walawiii8iiii8iiti
 
Kama ushawahi kukupatwa na matatizo mazito wimbo wowote wenye huzuni utakumwaga chozi,lakini kama hujawahi kupitia vigingi vigumu huu wimbo utaona kama ngororo,m huu wimbo unahudhunisha.
 
Ngoja nawewe upatwe najambo ambalo kwa hakika haukutenda na wala haukujua linatendekaje likupate ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…