central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Hii PERFUME ya Joslin, Producer gani alitengeneza. Aisee nani? Studio gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee popote alipo heshima yake🙌🏻🙌🏻🔥Producer Jonas wa iliyokuwa ikiitwa Midman Record
Kuna production zilikuwa mbele ya muda [emoji3]Ais
Aiseee popote alipo heshima yake[emoji1316][emoji1316][emoji91]
Sahihi ndugu. hii perfume bonge la ngoma hii flow hatariKuna production zilikuwa mbele ya muda [emoji3]
Anaitwa Enika alifanya poa sana humo...Nakubali, halafu acha hiyo Parfume kuna ile "rudi nyumbani" Joslin akiwa na mshikaji wake Makamua na mdada furani hivi sikumbuki jina lake aisee bonge moja la ngoma.
Ndio,, "Wanapagawa" ya Jebby ile beat yake haijawahi kutokea tena,,Kuna mashindano yalifanyika Jos akapata deal ya kurekodi hiyo ngoma bure...
Kipindi inatoka ndo kipindi ambacho Jebby naye alikuwa anatoka na "Wanapagawa" toka Mawingu Studio
Asante kwa kunikumbusha ni Enika ndio,,Anaitwa Enika alifanya poa sana humo...
mzigo noma huo...jebby dahNdio,, "Wanapagawa" ya Jebby ile beat yake haijawahi kutokea tena,,
Bonge ya beat hasa uikute kwenye spika ya maana,, noma
Producer ni naniNdio,, "Wanapagawa" ya Jebby ile beat yake haijawahi kutokea tena,,
Bonge ya beat hasa uikute kwenye spika ya maana,, noma
BoniluvProducer ni nani
yupo mtafitie shoo mkuu huko uliko hana shida ukipata ni pmYule joslin alikuwa anajua sana aisee,sijui kapotelea wapi
Yupo tatizo ni lilelile amekuwa teja ukimuona hutomjuaYule joslin alikuwa anajua sana aisee,sijui kapotelea wapi
Mi nasikiliza kila mara ..nikweli kama ilikuwa mbele ya muda . Pia ukisikiliza kazi za mabeste aisee jamaa walikuwa na flow Kali sanaSahihi ndugu. hii perfume bonge la ngoma hii flow hatari
Umri wakoSahihi ndugu. hii perfume bonge la ngoma hii flow hatari