Wimbo wa Perfume wa Joslin ulitengenezwa na nani?

Wimbo wa Perfume wa Joslin ulitengenezwa na nani?

Au kitu cha Niite Basi...Mshkaji mmoja🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Alafu mziki anaudai hata ningekua Mimi ningekua bwax mda huu yaan nimefanya kazi kubwa sana kuupaisha mziki alafu mziki haujanilipa vile nilivyotarajia unilipe
 
Nilimnyooshea mkono kwenye verse aliyo iimba kwenye wimbo wa Abubakari Mzuri "samahani dada"

Jamaa alikuwa na hatari.
 
Back
Top Bottom