Wimbo wa Perfume wa Joslin ulitengenezwa na nani?

Kuna mashindano yalifanyika Jos akapata deal ya kurekodi hiyo ngoma bure...
Kipindi inatoka ndo kipindi ambacho Jebby naye alikuwa anatoka na "Wanapagawa" toka Mawingu Studio
 
Kuna mashindano yalifanyika Jos akapata deal ya kurekodi hiyo ngoma bure...
Kipindi inatoka ndo kipindi ambacho Jebby naye alikuwa anatoka na "Wanapagawa" toka Mawingu Studio
Ndio,, "Wanapagawa" ya Jebby ile beat yake haijawahi kutokea tena,,
Bonge ya beat hasa uikute kwenye spika ya maana,, noma
 
Yule joslin alikuwa anajua sana aisee,sijui kapotelea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…