Wimbo wa profesa j na sholo mwamba wamuaibisha mshkaji

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
leo wakati nikiwa na washkaji tunapiga stori za hapa na pale, kuna jamaa akawa anaimba wimbo wa profesa j na sholo mwamba (kazi kazi) sasa kwenye mstari 'mama kanituma nikanunue kuku wa kiume' sijui ni kwa makusudi au ni kwa bahati mbaya lakini jamaa aliimba kuku kanituma nikanunue mama wa kiume
 
Hihihihihh katoa boko... noma sana hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…