leo wakati nikiwa na washkaji tunapiga stori za hapa na pale, kuna jamaa akawa anaimba wimbo wa profesa j na sholo mwamba (kazi kazi) sasa kwenye mstari 'mama kanituma nikanunue kuku wa kiume' sijui ni kwa makusudi au ni kwa bahati mbaya lakini jamaa aliimba kuku kanituma nikanunue mama wa kiume