Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
403
Reaction score
582
Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
 
Kwa kuwa umetaka kumjua producer ni;

Prod; Henrico

Ukitaka kujua kuhusu studio utaniuliza nipo pale nimekaa.
 
Hii ngomba ukiisikiliza leo utazani ni mpya. sauti na melody kali bila kusahau kiitikiko cha waiper
 
Back
Top Bottom