sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy.
NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka nikajitegemee huo ni upuuzi mtu na ndevu zako unajitia utoto ili usikunjue pesa wewe ni mtoto wa nani kwanza...
Tumefungua duka mimi nimewekeza na wewe umewekeza siku ukitaka duka liwe lako peke yako dawa ni kunifidia changu sio unalilia lia uko eti uonewe huruma.