Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Binadamu sie ndio tulivyo.Hizi kona za sinza pazuri aisee!! 180 degress turn. Yan Mtu ulokua unamsifia kinyama leo ndo unamkaangia sumu humu JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu sie ndio tulivyo.Hizi kona za sinza pazuri aisee!! 180 degress turn. Yan Mtu ulokua unamsifia kinyama leo ndo unamkaangia sumu humu JF.
😂😂😂Dugu yangu.... Kuna watu wanajua kuwa machawa..... Yaani Hapo utajuta ndio wale chumba kimoja akiamka Mali zake zote anaziona ....akifa hakuna kikao Cha mirathi ...kutwa kuwananga watu.
Kama WCB walikuwa wanachukua kila sent bado kwanini Producer asiendelee kuchukuaKwani wakati Ray anafanya hyo ngoma si alikuwa ndani ya lebo ya wasafi?na wao ndo wanashughulikq na mambo yote iweje kuwe na makubaliano tofauti na esitukizi?
diamond uwa hapendi aje azidiwe.
Mikataba yenyewe ya akina chifu mangungo.na watoto wa watu walikuwa Wana saini kwa njaa zao tu
Kama wewe ndiye mtoa ridhki basi Sawa.Bila kiki hawezi uza muziki wake, atafute star wa kike ajiweke ndo wanachofanya mondi na harmonize yaani KILA siku awe midomoni Mwa watu, bila hivyo atapotea kama Rich mavoko
Dalili za mvua.mwambie ndugu yako ajiweke kwa jimama apate matukio.Kama wewe ndiye mtoa ridhki basi Sawa.
🚮🚮Dalili za mvua.mwambie ndugu yako ajiweke kwa jimama apate matukio.
Na ndio alivyoshawishiwa kuwa akiendeleza amani atapotea, aingie vitani na Mondi aende mjini.Bila kiki hawezi uza muziki wake, atafute star wa kike ajiweke ndo wanachofanya mondi na harmonize yaani KILA siku awe midomoni Mwa watu, bila hivyo atapotea kama Rich mavoko
Atafute mwanamke mwenye nyota atembee nae.Na ndio alivyoshawishiwa kuwa akiendeleza amani atapotea, aingie vitani na Mondi aende mjini.
Kwanza huyu bwege alipe ile milioni moja aliyosema atatoa mbona hakumpa jamaa yule huyu chawa?Bwana sinza pazuri hv mtu akitoka katika lebo ya wasafi ghafla anageuka kuwa adui yako?
Ulianza kwa
Richard
Rajabu
Sasa RAYVAN
Umesikia maisha n lazma yapatkane hapo wasafi tu?
Badilika kaka sijui dada
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na WCB nao wachange kumlipa msanii maana walikua wanakula 60% ya hiyo nyimbo ..Umeondolewa na producer wa wimbo anadai chake. Ampe chake asipende mtelemko.
[emoji23][emoji23]Kama ungekuwa mwanamke ungekuwa sawa na choo cha stand tu..
Juzi tu ulikuwa ukimsifia rayvany leo unamkimbia tena?
Kweli chawa hana fadhila [emoji23][emoji23]
Jamaa ni mnaafiki wa kiwango Cha helikopta mpya ya daimondHizi kona za sinza pazuri aisee!! 180 degress turn. Yan Mtu ulokua unamsifia kinyama leo ndo unamkaangia sumu humu JF.