sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Uswahili au ndo uzungu? Kaondoa Producer wa ngoma labda hawajaafikia kwenye maslah atalipwaje, Cos kaondoka basi ili Rayvany aimiliki mgoma ilitakiwa amlipe S2KZ chake na kama hawezi basi wakubaliane kila anapoingiza mkwanja kupitia hiyo ngoma ampe S2KZ gawio lake.Kwanini sasa umeondolewa wcb nao wana visa vya kishamba uswahili unaKua mwngi
Umeondolewa na producer wa wimbo anadai chake. Ampe chake asipende mtelemko.Kwanini sasa umeondolewa wcb nao wana visa vya kishamba uswahili unaKua mwngi
Nyimbo zake za mwisho kufanya vizuri alibebwa na Zuchu.Hafanyi vizuri kwa sasa
Yes ni biashara iongee sio unataka kupiga hela ila wewe hutaki kutoa cha kwako. Alafu unatafuta huruma everywhere.Uswahili au ndo uzungu? Kaondoa Producer wa ngoma labda hawajaafikia kwenye maslah atalipwaje, Cos kaondoka basi ili Rayvany aimiliki mgoma ilitakiwa amlipe S2KZ chake na kama hawezi basi wakubaliane kila anapoingiza mkwanja kupitia hiyo ngoma ampe S2KZ gawio lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni wee huyu au Acc yako imedukuliwa???Umeondolewa na producer wa wimbo anadai chake. Ampe chake asipende mtelemko.
Kumekuchaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyimbo zake za mwisho kufanya vizuri alibebwa na Zuchu.
Na mm nimepanoti hapo kutoka kwa huyo Chawa Mkuu wa Dimond hapa JamiiForumHafanyi vizuri kwa sasa
Uswahili au ndo uzungu? Kaondoa Producer wa ngoma labda hawajaafikia kwenye maslah atalipwaje, Cos kaondoka basi ili Rayvany aimiliki mgoma ilitakiwa amlipe S2KZ chake na kama hawezi basi wakubaliane kila anapoingiza mkwanja kupitia hiyo ngoma ampe S2KZ gawio lake.
Sasa hapo nani wa kulaumiwa, hutakiwi ku sign mkataba bila kujua kilichomo ndani.diamond uwa hapendi aje azidiwe.
Mikataba yenyewe ya akina chifu mangungo.na watoto wa watu walikuwa Wana saini kwa njaa zao tu
Dugu yangu.... Kuna watu wanajua kuwa machawa..... Yaani Hapo utajuta ndio wale chumba kimoja akiamka Mali zake zote anaziona ....akifa hakuna kikao Cha mirathi ...kutwa kuwananga watu.Hafanyi vizuri kwa sasa
duh watu mnajua kubadili gia angani na kulazimisha bifu