Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

Dugu yangu.... Kuna watu wanajua kuwa machawa..... Yaani Hapo utajuta ndio wale chumba kimoja akiamka Mali zake zote anaziona ....akifa hakuna kikao Cha mirathi ...kutwa kuwananga watu.
😂😂😂
 
Kama WCB walikuwa wanachukua kila sent bado kwanini Producer asiendelee kuchukua
 
Ndio maana wasanii huishia kunywa pombe na kutumia mihadarati
 
Bila kiki hawezi uza muziki wake, atafute star wa kike ajiweke ndo wanachofanya mondi na harmonize yaani KILA siku awe midomoni Mwa watu, bila hivyo atapotea kama Rich mavoko
Na ndio alivyoshawishiwa kuwa akiendeleza amani atapotea, aingie vitani na Mondi aende mjini.
 
Na ndio alivyoshawishiwa kuwa akiendeleza amani atapotea, aingie vitani na Mondi aende mjini.
Atafute mwanamke mwenye nyota atembee nae.
Jiulize why harmonize katumia pesa nyingi Sana kumrudia kajala.
Music industry is about skendo.
Diamond hawezi oa atachuja atawazalisha tu then anatafuta mwenye kiki mwingine,ataoa baada ya kustaafu muziki.
Van atafute skendo za kila mara Ili adumu sokoni.
 
Kama ungekuwa mwanamke ungekuwa sawa na choo cha stand tu..

Juzi tu ulikuwa ukimsifia rayvany leo unamkimbia tena?
Kweli chawa hana fadhila 😂😂
 
Kwanza huyu bwege alipe ile milioni moja aliyosema atatoa mbona hakumpa jamaa yule huyu chawa?
 
Kama ungekuwa mwanamke ungekuwa sawa na choo cha stand tu..

Juzi tu ulikuwa ukimsifia rayvany leo unamkimbia tena?
Kweli chawa hana fadhila [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Naona WCB wameanza kutishwa na kasi ya wasanii wanaokimbia lebo yao, eti Diamond anasema anajuta kutoa msaada kwa wasanii chipukizi, kwani yeye alitaka waendelee kuwa chipukizi chini yake mpaka lini?

Mwanzo alionesha kumuunga mkono Rayvanny kuanzisha lebo yake, nashangaa huku kubadilika kwa ghafla kumesababishwa na kitu gani, asiogope ushindani ndio unakuza muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…