Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kwa makonda wana vyeti? Ila si ndio wanashika hela zote.[emoji23] [emoji23]Kwenye nyimbo mpya ya roma na stamina..kuna mstar Roma anasema... *Madereva tuna leseni ila Makonda mnatupa loss* ,stamina anamjibu... *Makonda hatuna vyeti ila tumeaminiwa na boss* ..
Nimeufikiria sana huu mstari hivi wanamaanisha nini sijapata jibu!!!! [emoji55]
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee alisema yeye Dereva...Kwenye nyimbo mpya ya roma na stamina..kuna mstar Roma anasema... *Madereva tuna leseni ila Makonda mnatupa loss* ,stamina anamjibu... *Makonda hatuna vyeti ila tumeaminiwa na boss* ..
Nimeufikiria sana huu mstari hivi wanamaanisha nini sijapata jibu!!!! [emoji55]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole kwako mwanagenzi.Nyimbo mpya ya[emoji735]
Wimbo mpya wa...[emoji736]