Wimbo wa Roma

Wimbo wa Roma

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Kwenye nyimbo mpya ya roma na stamina..kuna mstar Roma anasema... *Madereva tuna leseni ila Makonda mnatupa loss* ,stamina anamjibu... *Makonda hatuna vyeti ila tumeaminiwa na boss* ..

Nimeufikiria sana huu mstari hivi wanamaanisha nini sijapata jibu!!!! [emoji55]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa makonda wana vyeti? Ila si ndio wanashika hela zote.[emoji23] [emoji23]

latest edition
 
We hujui maana ya makondakta? Madereva? Leseni? Boss? Au unaleta tafsida zako mbovu? Ngoja nimwite kifimbo cheza.....
 
Kwenye nyimbo mpya ya roma na stamina..kuna mstar Roma anasema... *Madereva tuna leseni ila Makonda mnatupa loss* ,stamina anamjibu... *Makonda hatuna vyeti ila tumeaminiwa na boss* ..

Nimeufikiria sana huu mstari hivi wanamaanisha nini sijapata jibu!!!! [emoji55]

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee alisema yeye Dereva...
Na kijana wetu yeye ni konda kulingana na jina lake.

Sasa mzeee ana anapiga kazi vzuri ila kid (konda) anasababisha kile kilicho fanywa na mzee kisionekana ionekane hasara.

Stamina anajibu, Hiii ni sababu ya kutokuwa na vyetiiiii.....

Carpe diem.....[emoji187]
 
Back
Top Bottom