Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa Reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"Kioo hakidanganyi mama, umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"
Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??
Akaendelea:
"Tukimbizane nini Salome wangu, hiyo michezo ya jogoo"
Matusi yakaendelea
"Mbona watizama chini Salome wangu, ukimwona jongoo (kidudu)"
Matusi yakaanza kuwa makubwa:
"Inama chini, shika magoti (doggy flani) nami nimesimama kama ngogoti(kadinda)
"Mtoto jojo,(mlaini kukatika) sio roboti,(sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"
"Mtoto jojo,(mlaini kukatika) sio roboti,(sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"
Aisee dai si akaingia ku-cement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabong'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini
Dai sasa:
"Unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)
Verse ya Dai naye akaendeleza sex maana utasikia "Utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifia kuwa na yeye kwenye msambwansa(sex) sio "ngenge ni nganga"
Mama yangu, Ray si akaja na matusi makubwa zaidi:
"Baby kwangwau, isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa".
Hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome
Matusi matupu