Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Hahaha mwacheni Diamond wawatu ths guy anajua maana ya sanaa! Wew ukitafsir hivyo wewe ndio unatukana! Hiyo ndio maana halisi ya Tafsida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo post ndo maana halisi ya huo wimbo, hapo suala la kukubali ni moja, maneno yaliyotumika ni tafsida, yanamfunga asiyeelewa..Watu kwa kupenda kukuza vitu. Nini maana ya fasihi? Utakavyoelewa wewe sio atakavyoelewa mwingine. Ni sawa na mtu ukimwambia "umenikanyaga" kmbe yy kichwan tayari anajua kukanyaga maana yake ya kifedhuli. Pia Ni sawa na kusema "anakalia kigogo kwa mbele" mwingine atafikiria vigogo vingine kumbe kigogo sehemu
hahahah dooooooooooo wacha nicheke ..........................
Hii inasababisha niamini hizi nyimbo wanatungiwa,kazi yao ni kuimba tu,,Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"
Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??
Akaendelea
"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"
Matusi yakaendelea
"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"
Matusi yakaanza kuwa makubwa
"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)" Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"
Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini
Dai sasa
"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)
Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"
Mama yangu Ray si akaja na matusi makubwa zaidi
"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome
*Matusi matupu*
Umenichekesha kweli bado hujausikiaMmmh watu wako fasta mie hata sijausikiliza nasubiri weekend nipate nafasi. Huku tafsiri zimeshatoka
"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome
Kwa post yako hii naamini huwa unaisikiliza hii nyimbo peke yako na kujiimbia mbali na watoto teh teh...Nilipoiskia tu nikasema laaaulaaa!nilikaa na mwanangu kijana wa makamo nikanyanyuka..twende mbele turudi nyuma dai tunamuelewa lakn hii nyimbo mtihan mtupu.
Una rambooo...Mi nna muwaYAMOTO BAND,ndo huwa wamezidi!
unenkumbusha ule wimbo wa Pale Kati Patamu patamu tamu...