Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupayuka wewe bedui toa hoja mbadala nilichokisema ndio ukweli from my point of view unataka wote tuwe wewe...relaxacha kurudia rudia mambo ya kipumbavu kila wakati,humu ndani kila mtu anauzungumzia huo wimbo,hamna cha kufanya wakuu,kwanini mnatufanya tujisikie aibu kuwa watanzania,sio fair aisee!
Hahaha icho kiswahili chako tu kinanifanya nigundue mambo mengi kuhusu ww by the way samahan sana DADA yngu naapa sitorudia kumsema tena MUMEOWewe ndo mwenye mtindio na hata usingesema tunajua unaliwaga punga wewe
Ni sawa mbali maaudhui mziki unaburudisha...ila nilichokikataa mm ni kuburudishwa kwa kutumia matusi kuna namna nyngi tu za kutifantya tuburudike....na huko us unakosema huho ni huko na huku ni hukuMziki si maudhui na ujumbe tu, ni burudani pia ndio maana kuna mwingine ataburudika kwa kusikiliza tu midundo ya ngoma au piano isiyo ya jumbe yoyote akaburudika, ukifatilia nyimbo mfano za us zinazoingiza mapesa mengi ujumbe hamna na bado watu wanazipenda sana. Zipo nyimbo nyingi tu zina jumbe na maudhui mazuri lakini hata wewe huzisikilizi umeamua kuisikiliza hiyo ya domo hadi kupekua mashairi yake.
Habari na hoja mchanganyikohili jukwaa la wasanii au?
Wametumia mashairi unaweza tafsiri hivo na mwingine akatafsiri tofauti hiyo ndo sanaa, hata tukipewa shairi tulitafsiri hatuwezi kuja na mawazo yanayo fanana kulingana na kila mmoja atakavyo elewa kwa namna yake..Ni sawa mbali maaudhui mziki unaburudisha...ila nilichokikataa mm ni kuburudishwa kwa kutumia matusi kuna namna nyngi tu za kutifantya tuburudike....na huko us unakosema huho ni huko na huku ni huku