Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

Kiukweli hata kama kuna wanaoshabikia but the truth remain the same. Maudhui zero
 
acha kurudia rudia mambo ya kipumbavu kila wakati,humu ndani kila mtu anauzungumzia huo wimbo,hamna cha kufanya wakuu,kwanini mnatufanya tujisikie aibu kuwa watanzania,sio fair aisee!
Acha kupayuka wewe bedui toa hoja mbadala nilichokisema ndio ukweli from my point of view unataka wote tuwe wewe...relax
 
Mziki si maudhui na ujumbe tu, ni burudani pia ndio maana kuna mwingine ataburudika kwa kusikiliza tu midundo ya ngoma au piano isiyo ya jumbe yoyote akaburudika, ukifatilia nyimbo mfano za us zinazoingiza mapesa mengi ujumbe hamna na bado watu wanazipenda sana. Zipo nyimbo nyingi tu zina jumbe na maudhui mazuri lakini hata wewe huzisikilizi umeamua kuisikiliza hiyo ya domo hadi kupekua mashairi yake.
 
Hebu naomba tafsiri ya wimbo MUOGO WA JANG'OMBE-BI KIDUDE. Rudi ukasome kitu kimachoitwa TAFSIDA, nahisi baadae ndio utaelewa kwa nn diamond platnumz ametumia yale maneno.
 
Mziki si maudhui na ujumbe tu, ni burudani pia ndio maana kuna mwingine ataburudika kwa kusikiliza tu midundo ya ngoma au piano isiyo ya jumbe yoyote akaburudika, ukifatilia nyimbo mfano za us zinazoingiza mapesa mengi ujumbe hamna na bado watu wanazipenda sana. Zipo nyimbo nyingi tu zina jumbe na maudhui mazuri lakini hata wewe huzisikilizi umeamua kuisikiliza hiyo ya domo hadi kupekua mashairi yake.
Ni sawa mbali maaudhui mziki unaburudisha...ila nilichokikataa mm ni kuburudishwa kwa kutumia matusi kuna namna nyngi tu za kutifantya tuburudike....na huko us unakosema huho ni huko na huku ni huku
 
Angalia asije akakuuliza ikiwa wewe ni binzari au nyanya?
 
Yale si matusi ila ni maneno yanayoweza kuleta aibu yakisikilizwa na watu wenye akili timamu na wanaheshimiana
 
Ni sawa mbali maaudhui mziki unaburudisha...ila nilichokikataa mm ni kuburudishwa kwa kutumia matusi kuna namna nyngi tu za kutifantya tuburudike....na huko us unakosema huho ni huko na huku ni huku
Wametumia mashairi unaweza tafsiri hivo na mwingine akatafsiri tofauti hiyo ndo sanaa, hata tukipewa shairi tulitafsiri hatuwezi kuja na mawazo yanayo fanana kulingana na kila mmoja atakavyo elewa kwa namna yake..
 
Diamond anakwambia alimsikilizisha Kikwete kabla ajatoa mstaafu akairudia kama mara 5 hiv kuitizama....na mitusi yote kwel Kikwete sio mtu wa mchezo mchezo
 
Mbona za Marekani zinapigwa na ni matusi mfano High School ya Nick Minaj ft Lil Wayne Audio tu matusi Video tuu ni sheeda na inapigwa muda wowotw
 
Back
Top Bottom