Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa Reyvanny

Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti

"Kioo hakidanganyi mama, umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"

Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??

Akaendelea:

"Tukimbizane nini Salome wangu, hiyo michezo ya jogoo"

Matusi yakaendelea

"Mbona watizama chini Salome wangu, ukimwona jongoo (kidudu)"

Matusi yakaanza kuwa makubwa:

"Inama chini, shika magoti (doggy flani) nami nimesimama kama ngogoti(kadinda)
"Mtoto jojo,(mlaini kukatika) sio roboti,(sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

Aisee dai si akaingia ku-cement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabong'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini

Dai sasa:
"Unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)​

Verse ya Dai naye akaendeleza sex maana utasikia "Utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifia kuwa na yeye kwenye msambwansa(sex) sio "ngenge ni nganga"

Mama yangu, Ray si akaja na matusi makubwa zaidi:
"Baby kwangwau, isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa".

Hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome

Matusi matupu
 
Hahaaa mdau umenichekesha sana...ukweli mtupuu hii ngoma fulu matusi hii michezo ya wakubwa lakin watoto ndo washaukamata nao wanataka kusimamia shoo
 
Wewe ndo unawaza matusi,hayo n maneno ya kawaida kwenye nyimbo za kidunia,kama vp kaskilize taarabu......mbona kuna wimbo wa ommy kasema "yey ktandan n maiweather anapga vtano" hata nyimbo ya dully inde kuna maneno meng tu mazur ya kdunia
 
kasikilize Kaswida mkuu humo ukuti tusi hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…