Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

Ukitaka ujumbe kaa uwasikilize Jennifer Mgendi na Shehe Kipozeo
 
Acha kupayuka wewe bedui toa hoja mbadala nilichokisema ndio ukweli from my point of view unataka wote tuwe wewe...relax
Hata kama unakuwa mkali, hiyo hoja humu jamvini imeshajadiliwa kwahiyo wewe unarudia kitu ambacho kimejadiliwa karibuni tu! Mada yenyewe ni hii hapa chini:
 
kwa vile ni mond watu wana kenua tu
Wametumia tafsida za kutosha na huwezi kumpeleka popote kwamba eti ametukana! Na hiyo ndiyo raha ya lugha!! Kwa mfano, unaweza kusema "nimesimama kama ngongoti anamaanisha "amedinda" lakini yeye akakuambia amemaanisha amesimama imara kama askari! Je, utaweza ku-justify kwama kusimama kama ngongoti ni kudinda?!

Labda kwa faida yako tu; watu hawafahamu ni kwanini Kenya tumewaacha mbali kwenye muziki wa kizazi kipya... Tanzania tuna uwezo mkubwa wa kucheza na Kiswahili kuliko Wakenya ambao kwenye Kiswahili hawapo wala kwenye Kiingereza hawapo!! Kucheza kwenye na lugha ndio huko...
 
"mie baby kwenye msambwanda, siendagi nge nge ni nga nga nga"
 
lazima utakuwa team mond
 
kuna mahali akamwaga sumu kama koboko(alikojoa)
 
Mi mwenyewe siku ya kwanza tu niliugundua ulivyo na matus ya kutosha
 
Ngojaa kesho utaisikia Nimeifungiaa Nipo kwa Ajilii ya Nyimbo km hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…