Wimbo wa Sea ulioimbwa na Babu Sea Ulimlenga nani?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Huu wimbo hauchujagi, mzee aliuimba kwa hisia sana, inaelekea huyo sea alikuwa mtundu sana.

Je, Sea ndiyo jina la mhusika kweli au alikuwa kamlenga manzi mwingine, je ni nani huyo aliyesababisha tupate utunzi huu matata kabisa?

Siamini kama wimbo huu aliutunga tunga tu, ni lazima alipata makhaba sehemu tena huenda alikutana na watoto wa pwani nikimaanisha Tanga, Dar, LINDI au Mtwara.
 
Mkwele alimharibia sana kipaji huyu mwamba.kipaji chake kilikuwa level ya mopao mokonzi(koffi olomide) baadae akabambikwa kesi za uobgo za ubakaji sababu tu mama yoyo wake alikuwa wa huyo mwamba kabla ya kunyang'anywa kimabavu na mkwelesi
Hivi ni kweli hii majambo?Muda huo nilikuwa kijijini kwetu nalima kabeji.
 
Mkwele alimharibia sana kipaji huyu mwamba.kipaji chake kilikuwa level ya mopao mokonzi(koffi olomide) baadae akabambikwa kesi za uobgo za ubakaji sababu tu mama yoyo wake alikuwa wa huyo mwamba kabla ya kunyang'anywa kimabavu na mkwelesi
Niongezeee kahawa bwasheee afu uendelee na story 😁
 
Magu aliwatowaga hawa jamaa watakuwa wako zaire kwa sasa
 
Mkwele alimharibia sana kipaji huyu mwamba.kipaji chake kilikuwa level ya mopao mokonzi(koffi olomide) baadae akabambikwa kesi za uobgo za ubakaji sababu tu mama yoyo wake alikuwa wa huyo mwamba kabla ya kunyang'anywa kimabavu na mkwelesi
Jiwe akaja kumtoa daah
 
Boss la DP world vipi umeshamaliza kuikamua Tanganyika?
 
Mkwele alimharibia sana kipaji huyu mwamba.kipaji chake kilikuwa level ya mopao mokonzi(koffi olomide) baadae akabambikwa kesi za uobgo za ubakaji sababu tu mama yoyo wake alikuwa wa huyo mwamba kabla ya kunyang'anywa kimabavu na mkwelesi

Saundi, Koffii hapa umemdunisha aisee. Acha kufananisha Mopao na vitu vya ajabu bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…