Eti mpaka rockstar ikopiwe..hii mijamaa mijinga sana!Mm siyo shabiki wa diamond ila kama ni wao wemetengeneza wamefeli sana na pia wataupa huu wimbo promo za kijinga sana na kama kucopy kiba siyo mjinga akopy kila kitu hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Last month nyimbo ina muda gani mtaani? Afu huyo mspaniola wenu wa Iringa anatuchekesha tu hapa, ungekuwa nyimbo ya wale mabingwa wa kukopy mngesema "mspaniola afanya covered nyimbo ya diamond" ila Kiba kakopy!!!! Aisee mna kaz sanaWe ndio umeileta leo hapa JF??,
Umechelewa Bro, Mi niliileta toka last Month Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Hata Juzi ya 31st Aug ni last month, na ndio maana thread imeungwa hapoLast month nyimbo ina muda gani mtaani? Afu huyo mspaniola wenu wa Iringa anatuchekesha tu hapa, ungekuwa nyimbo ya wale mabingwa wa kukopy mngesema "mspaniola afanya covered nyimbo ya diamond" ila Kiba kakopy!!!! Aisee mna kaz sana
Wadau Kwema??
Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.
Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.
Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
watakuwa wamekosa kazi nadhaniNaomba tcra wadili na hao waliokutumia katika wassap..maana kama no uhujumu,itakuwa mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau ajeUkitwka kumjua kiba vizur msikilize vzr kuanzia sindelela mpka seduce me uone wap hata nyimbo zake mwenyewe zinajirudia hata ktk melody,,mwachen lile ni jeshi la mtu mmoja kama farid kubanda
Sinderela,
Mac muga
Ya Karim
Usinicheke,
Rote Rote
Single Boy
Run Dunia
Mwana
Nagharamia
Lupela
Nyingine malizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunikumbusha kiongoz,,nilitaka kumkumbusha toka enzi hizo
Atakuwa kaimba lavalava[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani mie wimbo nimetumiwa tu Whatsapp na alienitumia nae katumiwa,
Sijui hata kaimba nani wala sijui kautoa lini,
Ndio maana hata Kwenye Title/heading nimefanya kuuliza, sijasema moja kwa moja kua kakopi.
Nimeuleta hapa nikijua pengine kuna wajuzi zaidi yangu wanaujua huu wimbo
Wimbo huu ndo amekopi na kupesti wa Ali Kiba. Kawakamate wajinga!Wadau Kwema??