Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Last month nyimbo ina muda gani mtaani? Afu huyo mspaniola wenu wa Iringa anatuchekesha tu hapa, ungekuwa nyimbo ya wale mabingwa wa kukopy mngesema "mspaniola afanya covered nyimbo ya diamond" ila Kiba kakopy!!!! Aisee mna kaz sana
Hata Juzi ya 31st Aug ni last month, na ndio maana thread imeungwa hapo
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.

Weka link ya huo wimbo
 
Kwel kakopi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
cdc18f9364eba7193f35f4c9b6b48253.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitwka kumjua kiba vizur msikilize vzr kuanzia sindelela mpka seduce me uone wap hata nyimbo zake mwenyewe zinajirudia hata ktk melody,,mwachen lile ni jeshi la mtu mmoja kama farid kubanda

Sinderela,
Mac muga
Ya Karim
Usinicheke,
Rote Rote
Single Boy
Run Dunia
Mwana
Nagharamia
Lupela
Nyingine malizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau aje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mie wimbo nimetumiwa tu Whatsapp na alienitumia nae katumiwa,
Sijui hata kaimba nani wala sijui kautoa lini,
Ndio maana hata Kwenye Title/heading nimefanya kuuliza, sijasema moja kwa moja kua kakopi.
Nimeuleta hapa nikijua pengine kuna wajuzi zaidi yangu wanaujua huu wimbo
Atakuwa kaimba lavalava[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
Wimbo huu ndo amekopi na kupesti wa Ali Kiba. Kawakamate wajinga!
Ebu tuanzie hapa, kama wewe umeupata nasi titajie aliyeuimba nasi tuufuate ktk youtube au mtandaoni!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona hiyo "Hold on" ni ya kibongo, kwa hiyo hawa WACHAFU wameingia hadi studio kutengeneza figisu. Yaooooo.
 
Back
Top Bottom