Ukifatilia uzi comment za mwanzon kabisa nilisema huu wimbo mbona kama cover flani iv alafu nikamuuliza releasing date.....sasa ww bila reasoning unakurupuka tu wasafi ndo wametoa una ushahidi gn kuwa na wasafi.
Mkuu nadhani wewe unavyomshabikia diamond unizidi ata kidogo ila kwenye ukweli lazima niwe mkweli tu huu wimbo hiv kuna coment nimesema wasafi wametengeneza huu wimboUkifatilia uzi comment za mwanzon kabisa nilisema huu wimbo mbona kama cover flani iv alafu nikamuuliza releasing date.....sasa ww bila reasoning unakurupuka tu wasafi ndo wametoa una ushahidi gn kuwa na wasafi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli Kabisa Mkuu, i huu wimbo umeibiwa some where...
Kiba ni darasa la saba. Atakua ameiba kilakitu.
Nina hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kwa moja bila reasoning uliwafikilia wasafi ndo wanaweza kuwa wamefanya huu ujinga....au siyo ww huyu.Mm siyo shabiki wa diamond ila kama ni wao wemetengeneza wamefeli sana na pia wataupa huu wimbo promo za kijinga sana na kama kucopy kiba siyo mjinga akopy kila kitu hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe niambie,Kama umeusikia you have to use your commonsense to identify which is copy and which is original, acha jutujazia topics kwa kuleta topic nyepesi kama hizi. Dont waste our time ....ungetuma kwenye magroup yako ya olevel ,advance or chuo wangekupajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetumia akili kujibu unadhani ungeandika ulichoandika?Una ushahidi gani kuwa hicho kitu kimefanywa na wasafi ivi kwa nn majanga ya kiba mnawatupiaga wasafi kwa dhiki gani waliyonayo.....ivi unafikili hizi kampeni alizofanyiw kiba angekuwa kafanyiwa mond si tungesikia mengi sana kununua watu na vitu ka izo.
Ifike kipindi akili zitumike kuliko makalio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaazi kweli kweliWatagawa pesa ili watu wasikilize nyimbo?[emoji28]
We unazani kuna watu wana akili fupi kama hao wasafi...huu ushauri wa kutumia akili kuliko makalio nenda kawape sallam.tale na chaijabaUna ushahidi gani kuwa hicho kitu kimefanywa na wasafi ivi kwa nn majanga ya kiba mnawatupiaga wasafi kwa dhiki gani waliyonayo.....ivi unafikili hizi kampeni alizofanyiw kiba angekuwa kafanyiwa mond si tungesikia mengi sana kununua watu na vitu ka izo.
Ifike kipindi akili zitumike kuliko makalio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kisodaUngetumia akili kujibu unadhani ungeandika ulichoandika?
no reasonable fact unakurupuka tu....ww na wao nani mwenye akili fupi.We unazani kuna watu wana akili fupi kama hao wasafi...huu ushauri wa kutumia akili kuliko makalio nenda kawape sallam.tale na chaijaba