Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Ukifatilia uzi comment za mwanzon kabisa nilisema huu wimbo mbona kama cover flani iv alafu nikamuuliza releasing date.....sasa ww bila reasoning unakurupuka tu wasafi ndo wametoa una ushahidi gn kuwa na wasafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani wewe unavyomshabikia diamond unizidi ata kidogo ila kwenye ukweli lazima niwe mkweli tu huu wimbo hiv kuna coment nimesema wasafi wametengeneza huu wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye team zao watakwambia huyo bwana mdogo ndo kakopi kwa King Kiba Kipusa. Ila inawezekana pia huu umekuwa fabricated fasta mitaa flani ya uswazi huko. Usicheze na team. Otherwise jina litajwe watu wakautafute Google
 
Ahahahahaaaaa hiyo kitu imepachikwa vimaneno Kyle kwa mtogole
 
Kama umeusikia you have to use your commonsense to identify which is copy and which is original, acha jutujazia topics kwa kuleta topic nyepesi kama hizi. Dont waste our time ....ungetuma kwenye magroup yako ya olevel ,advance or chuo wangekupajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe niambie,
Common sense yako imekuambia upi ni copy ya mwengine??
Kwa vigezo vipi labda??
Weka wewe topic nzito na kama unaona humu ni wastage of time hujalazimishwa kuwepo humu.
 
Karne ya 21 nyimbo huwezi weka online tukashindwa ijua nani kaimba,imewekwa lini,toka sehemu gani...Hii moja kwa moja ni hujuma tu Ali Kiba katoa original song unless ajitokeze mtu na proof sio hizo cover!...
 
Sipati picha mlivyolala studio mki copy kha seduce me itawafanya mvae madela kichwan
 
Una ushahidi gani kuwa hicho kitu kimefanywa na wasafi ivi kwa nn majanga ya kiba mnawatupiaga wasafi kwa dhiki gani waliyonayo.....ivi unafikili hizi kampeni alizofanyiw kiba angekuwa kafanyiwa mond si tungesikia mengi sana kununua watu na vitu ka izo.

Ifike kipindi akili zitumike kuliko makalio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetumia akili kujibu unadhani ungeandika ulichoandika?
 
Una ushahidi gani kuwa hicho kitu kimefanywa na wasafi ivi kwa nn majanga ya kiba mnawatupiaga wasafi kwa dhiki gani waliyonayo.....ivi unafikili hizi kampeni alizofanyiw kiba angekuwa kafanyiwa mond si tungesikia mengi sana kununua watu na vitu ka izo.

Ifike kipindi akili zitumike kuliko makalio.

Sent using Jamii Forums mobile app
We unazani kuna watu wana akili fupi kama hao wasafi...huu ushauri wa kutumia akili kuliko makalio nenda kawape sallam.tale na chaijaba
 
Huyo Neyo baada ya domo kuimba nae King Kiba akafuta verse ya Neyo....
 
Back
Top Bottom