Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Siku hizi jf kama instagram
 
Kwa hyo wachafu apo ndipo mulipoishia kufkiri yaan mnatengeneza nyimbo kama hiyo ilo aonekane kaiba? Hata mkifanya hivo kibakuli bado n level nyngini
 
Basi hiyo itakuwa ni cover, Mkuu!
Hata mi naona aisee,
Lakini je kama ni Cover, ni kazi ya [HASHTAG]#TeamMadale[/HASHTAG] au kuna jamaa tu kajipigia zake cover sema sababu wimbo mpya ndio maana hatumjui??
 
Ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaa, aiseeeeee. Mmeumbuka wabana pua wa CHADEMA. Yaani mbwembwe zote zile kumbe wimbo umeibwaaaaaaa? Duuuuuuh, hatariiiiii. Hiyo inaitwa ncopy and paste ya hatari aiseee.
 
Hata mi naona aisee,
Lakini je kama ni Cover, ni kazi ya [HASHTAG]#TeamMadale[/HASHTAG] au kuna jamaa tu kajipigia zake cover sema sababu wimbo mpya ndio maana hatumjui??
Mkuu,
Kwangu wimbo uliou-attach una dk 18. Najaribu kuu-skip forward ila inashindikana!
Kwako vipi ?
 
Mkuu,
Kwangu wimbo uliou-attach una dk 18. Najaribu kuu-skip forward ila inashindikana!
Kwako vipi ?
Haziimbi dakika zote 18 Mkuunaona, kule mbele ambako hakuimbwi ukiku play kuna kua na shida. Embu peleka forward pafupi tu uone
 
Haziimbi dakika zote 18 Mkuunaona, kule mbele ambako hakuimbwi ukiku play kuna kua na shida. Embu peleka forward pafupi tu uone
Umeipakua wapi kwani, Mkuu Shark?
Naona kama vile aliyeitengeneza ka-rush kuisambaza au tatizo la source yako tu?
 
Umeipakua wapi kwani, Mkuu Shark?
Naona kama vile aliyeitengeneza ka-rush kuisambaza au tatizo la source yako tu?
Kuna jamaa kantumia kwa Whatsapp kuniuliza nani kaimba maana nae katumiwa tu whatsapp ndio nikaona niilete hapa kwa Great Thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…