South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,143
Ndio sababu kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu kumbe
Namm naweka ushahidi wa nyimbo ya zilipendwa diamond ka-kopy nyimbo ya rose mhando ya kiatu kivue.1) Sijasema Kiba kakosea
2) Ushahidi wa wimbo nimeweka
Unajua nguvu ya mange wwWaswahili Bwana, sasa wewe unachotaka nikitu gani, unacha kuwataja wanaokopy kila kitu kutoka naijeria (Diamond),,,, copy and pest inaweza kuwa na viwies 3m for 6days ? Acha wivu wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hiyo itakuwa ni cover, Mkuu!Watu washaijaribu,
Lakini nayo imekataa ku-detect
Mkuu,Hata mi naona aisee,
Lakini je kama ni Cover, ni kazi ya [HASHTAG]#TeamMadale[/HASHTAG] au kuna jamaa tu kajipigia zake cover sema sababu wimbo mpya ndio maana hatumjui??