Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mwambie amuulize aliyemtumia.Kuna jamaa kantumia kwa Whatsapp kuniuliza nani kaimba maana nae katumiwa tu whatsapp ndio nikaona niilete hapa kwa Great Thinkers
Mkuu wangu vitu vya kufoward whatsapp si wajua vinavyokuwaga.Mwambie amuulize aliyemtumia.
Tuje kwenye accent ya huyo aliyeimba.Mkuu wangu vitu vya kufoward whatsapp si wajua vinavyokuwaga.
Fikiria tu mfano zile barua za Teuzi/Tenguzi anazotumaga Gerson Msigwa jinsi zinavyosambaaga.
Yaani waweza kukuta Kutoka kwa msigwa mpaka inakufikia ishafowadiwa hata mara 50 na zaidi hapo katikati.
Huyapati kwa kuwa yametengenezwa hapo MadaleSielewi aisee Mkuu,
Hata maneno ya huu wimbo nikiya-search Lyrics zake kwenye mitandaoni siyapati yaani.
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Mmmmh aisee watu wafukunyuku
carnte himself
Mmh mwenzako anapiga pesa tuWadau Kwema??
Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.
Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.
Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
kwendeni huko mmechukua beat ya seduce me mkaivuruga vuruga...Na wenye nyimbo wanadai wanaenda international tribunal wakipata order wanadaka Mali yoyote ya Mtanzania yoyote