Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Mwambie amuulize aliyemtumia.
Mkuu wangu vitu vya kufoward whatsapp si wajua vinavyokuwaga.
Fikiria tu mfano zile barua za Teuzi/Tenguzi anazotumaga Gerson Msigwa jinsi zinavyosambaaga.
Yaani waweza kukuta Kutoka kwa msigwa mpaka inakufikia ishafowadiwa hata mara 50 na zaidi hapo katikati.
 
Mkuu wangu vitu vya kufoward whatsapp si wajua vinavyokuwaga.
Fikiria tu mfano zile barua za Teuzi/Tenguzi anazotumaga Gerson Msigwa jinsi zinavyosambaaga.
Yaani waweza kukuta Kutoka kwa msigwa mpaka inakufikia ishafowadiwa hata mara 50 na zaidi hapo katikati.
Tuje kwenye accent ya huyo aliyeimba.
Mkuu wewe unahisi ni ya wapi?
 
Tuje kwenye accent ya huyo aliyeimba.
Mkuu wewe unahisi ni ya wapi?
Sielewi aisee Mkuu,
Hata maneno ya huu wimbo nikiya-search Lyrics zake kwenye mitandaoni siyapati yaani.
 
Ukiona hadi Shazam imeshindwa kuutambua huu wimbo, jua made here here!!!
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
Mmh mwenzako anapiga pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wenye nyimbo wanadai wanaenda international tribunal wakipata order wanadaka Mali yoyote ya Mtanzania yoyote

 
Mimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.

ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
 
Mmeshindwa hata tafuta mzungu kweli ionekane kweli imecopiwa jamani hiyo rafudhi yaonekana kabisa huyo mtu kingereza lugha ya tano...

Yani kingereza lakink rafudhi ya chato kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba hapelekeshwi na ujinga kama siyo jweli kuna haja gani ya kuanzia kukanusha? Ndicho mobeto alichomuuliza diamond kwamba kama unajua mtoto hakuhusu unahangaika nn kujisafisha?
 
Back
Top Bottom