emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Hanaga muda kujibu ujinga wa Madale, wanajitekenya na kucheka wenyeweMimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.
ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Kuwa shabiki wa mond na hii habari kuna uhusiano ganiMimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.
ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Wanadaaka mali yoyote ya mtanzania yoyote...??? Mbona sijakuelewa ina maana watazui ata bombadia kisa ali kiba? Teh teh teh mnavituko siwaweziNa wenye nyimbo wanadai wanaenda international tribunal wakipata order wanadaka Mali yoyote ya Mtanzania yoyote
Wewe Sio Shabiki Wa Kiba Katetemekee Mbele Huko Usije UkatufiaNikiwa km shabiki wa kiba...natetemeka hapa.....KWA WOGA NA AIBU....yawezekana kaiba huo wimbo KWELI....mwanamuziki gn anatoa nyimbo MOJA MWAKA MZIMA
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio umeileta leo hapa JF??,Na wenye nyimbo wanadai wanaenda international tribunal wakipata order wanadaka Mali yoyote ya Mtanzania yoyote
Hana huo mda anaona tuu wanavyohahaMimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.
ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?