Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Mimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.

ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Hanaga muda kujibu ujinga wa Madale, wanajitekenya na kucheka wenyewe

Lexus Mayai
 
Mimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.

ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Kuwa shabiki wa mond na hii habari kuna uhusiano gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba music wake uliishaaga kitambo sana!! Amekaa mwaka mzima kaibuka na wimbo wa wizi!!
 
hii remix imetulia sana, naona mpk dubai wamekopi
 
Na wenye nyimbo wanadai wanaenda international tribunal wakipata order wanadaka Mali yoyote ya Mtanzania yoyote

Wanadaaka mali yoyote ya mtanzania yoyote...??? Mbona sijakuelewa ina maana watazui ata bombadia kisa ali kiba? Teh teh teh mnavituko siwawezi

Mimi
 
Nikiwa km shabiki wa kiba...natetemeka hapa.....KWA WOGA NA AIBU....yawezekana kaiba huo wimbo KWELI....mwanamuziki gn anatoa nyimbo MOJA MWAKA MZIMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo hata ukiutafuta kwa soundhood haujulikani?halafu muimbaji mwenyewe hata kingereza kibovu kabisa,yaani ni ujinga uliopitiliza uliofanywa na wajinga wa madale
 
Mimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.

ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Hana huo mda anaona tuu wanavyohaha
 
Mnatia aibu kweli yani hata huyo mnaemwangaikia hata pua yako haijui inafananaje. Acheni upuuzi kiba yupo lebel kubwa hawawezi kuachia nyimbo ambayo ni copy bila ruhusa ya mwenyewe kama ndo ingekua hivyo.
 
Back
Top Bottom