Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Hivi umesoma mada na heading yake lakini??
Mimi sio timu yoyote, nimeuweka hapa ili mnisaidie, acha povu.
Ndo hivyo sasa tunakusaidia kwa kukwambia huo wimbo umetengenezwa hapo Wasafi Records na timu ya Diamond...

Unataka msaada gani tena....
 
Kweli aisee hii nyimbo kaimba babu tale, kiba aliwaibia CD [emoji23]
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
 
It's a HIT SONG!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu msanii mkubwa kama kiba atawezaje kucopy kwa hako kasanii hata demu wake hajui kama kanaimba?
Alikiba atautoa wapi wimbo wa hako na kucopy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
ukisikia tu rafudhi ya muimbaji unagundua ni mbongo kwaiyo kajipangeni upya
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.

kuna siku utakataa mpaka jinsia yako
 
Waswahili Bwana, sasa wewe unachotaka nikitu gani, unacha kuwataja wanaokopy kila kitu kutoka naijeria (Diamond),,,, copy and pest inaweza kuwa na viwies 3m for 6days ? Acha wivu wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kunilisha maneno we mdada, pitia uzi mzima uniambie wapi nimesema kiba ka copy,
pitia na heading kwa msaada zaidi,
mimi nauliza sababu sina uhakika, na nimeleta humu ili tujadili,
 
Copy ni copy haijalishi ukubwa wa msanii, huyo tembo wenu akili imeshachoka ameona bora akopi, hayo mambo ya kizamani, dunia ya sasa chochote unakipata kwa technologia.
Ndio ameshawabamba wajinga wajinga na wavivu wa kutafuta uhalisia.
Timu tembo mwambieni jamaa yenu arudi studio tena.

sweeper
 
Kama umeusikia you have to use your commonsense to identify which is copy and which is original, acha jutujazia topics kwa kuleta topic nyepesi kama hizi. Dont waste our time ....ungetuma kwenye magroup yako ya olevel ,advance or chuo wangekupajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Copy ni copy haijalishi ukubwa wa msanii, huyo tembo wenu akili imeshachoka ameona bora akopi, hayo mambo ya kizamani, dunia ya sasa chochote unakipata kwa technologia.
Ndio ameshawabamba wajinga wajinga na wavivu wa kutafuta uhalisia.
Timu tembo mwambieni jamaa yenu arudi studio tena.

sweeper
Elimu yako Please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ni nzuri sana ukiwa nayo ila ukiikosa angalau uwe na ufahamu lakini ukikosa vyote utafanya mambo pasipo kujua matokeo... WCB wamepewa pesa ila hawana elimu wala ufahamu nadhani kwa hiki ndo watashawishi wengi kuutizama na kuusikiliza huu wimbo mara nyingi zaidi
Una ushahidi gani kuwa hicho kitu kimefanywa na wasafi ivi kwa nn majanga ya kiba mnawatupiaga wasafi kwa dhiki gani waliyonayo.....ivi unafikili hizi kampeni alizofanyiw kiba angekuwa kafanyiwa mond si tungesikia mengi sana kununua watu na vitu ka izo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom