Wimbo wa Stella wake Freshly Wamburi ni wa kibaguzi, haufai.

Wimbo wa Stella wake Freshly Wamburi ni wa kibaguzi, haufai.

Kwenye wimbo huu kuna sehemu anasema, "Mchumba wake mfupi, Futi nne mjapan." Huu ni ubaguzi na kama matusi kwa wajapan. Haijakaa poa.
Sasa,ukiwa mfupi aseme weye ni mrefu?Halafu,Wajaponee wenyewe wanajijua ni wafupi na hawanuni.
 
Hebu tutajie umri wako kwanza ndio tujue jinsi gani tunakusaidia,isije kuwa ni under 20
 
Back
Top Bottom