Skythelimit
Member
- Jul 19, 2023
- 61
- 133
Kwa kuwa wenzetu Zanzibari wameamua kuwa na kila kitu chao kinachowatambulisha kama taifa nadhani na sisi watanganyika ni muda wa kuanza kufufua matumaini ya kuwa na utambulisho wetu kama taifa.
Bendera tunayo;
Wimbo wa taifa la Tanganyika;
Wimbo upo short and clear huku maudhui yetu kama taifa yakiwa ndani mwake.
Viongozi wetu mlioko serikalini mna jukumu kubwa la kuitetea Tanganyika kwa sababu ni taifa lilopatikana kwa sacrifice ya mababu wetu wengi katika miaka ya 1945 hadi 1961, kulepelekea uhuru wa taifa la Tanganyika. Kwa hiyo siyo busara kuwaacha wazanzibari wanajivunia nchi yao huku sisi tukiopotezea Tanganyika yetu.
Ili mawazo haya ya utanganyika yasiwepo kwenye vichwa vya watanzania mhakikishe kwamba Zanzibar inajua mipaka yake kwa kukubali kuwa taifa moja la Tanzania huku ikipotezea utaifa huo inaojivika, hapo na sisi watanganyika tutakubali kuipoteza Tanganyika yetu na kujivunia utanzania wetu.
Sasa hivi kama taifa hatuukubali huu usemi wa wahenga "wajinga ndio waliwao"
Viva Tanganyika
Mungu ibariki Tanganyika.
Bendera tunayo;
Wimbo wa taifa la Tanganyika;
Nchi yangu nzuri Tanganyika,
Amani, Upendo twadumisha,
Hekima, Nidhamu, Maadili,
Wote kwa pamoja tutalinda.
Mungu ibariki,
Wabariki watanganyika,
Wabariki na majirani.
Kazi kwa bidii tutafanya,
Na uchumi wetu kuukuza,
Hii ni Tanganyika,
Tanganyika X2.