Wimbo wa taifa la Tanganyika

Wimbo wa taifa la Tanganyika

Tanganyika ilikufa mwaka 1964 na hatafufuka. 95% ya wanaoishi sasa wamezaliwa ndani ya Tanzania, it doesn't make sense kulilia jina ambalo haliwahusu.

I am a proud Tanzanian
Zanzibar ilizikwa lini?
 
Tanganyika ilikufa mwaka 1964 na hatafufuka. 95% ya wanaoishi sasa wamezaliwa ndani ya Tanzania, it doesn't make sense kulilia jina ambalo haliwahusu.

I am a proud Tanzanian
Acha unafiki basi, unawezaje kusema Tanganyika ilikufa angali Zanzibar bado ipo na inajitambulisha kwa utaifa wake. Yaani Zanzibar iliyoungana na Tanganyika kuipata Tanzania iwepo ila Tanganyika useme imekufa.
Labda kama umekufa wewe, sawa.
 
Historia huwa haifutiki, zaidi sana hujirudia tu.
 
Acha unafiki basi, unawezaje kusema Tanganyika ilikufa angali Zanzibar bado ipo na inajitambulisha kwa utaifa wake. Yaani Zanzibar iliyoungana na Tanganyika kuipata Tanzania iwepo ila Tanganyika useme imekufa.
Labda kama umekufa wewe, sawa.
Tanganyika ilikufa kwa kuunda Tanzania ila Zanzibar ni sehemu ya muungano yenye special autonomy (soma kwa kuelewa special autonomy).

Tanzania siyo ya kwanza kuwa na mfumo kama huo. Iko Taiwan, Hong-Kong, Wales, Scotland, Northern Ireland, Bermuda, Puerto Rico etc
 
Back
Top Bottom