GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Zanzibar ilizikwa lini?Tanganyika ilikufa mwaka 1964 na hatafufuka. 95% ya wanaoishi sasa wamezaliwa ndani ya Tanzania, it doesn't make sense kulilia jina ambalo haliwahusu.
I am a proud Tanzanian
Acha unafiki basi, unawezaje kusema Tanganyika ilikufa angali Zanzibar bado ipo na inajitambulisha kwa utaifa wake. Yaani Zanzibar iliyoungana na Tanganyika kuipata Tanzania iwepo ila Tanganyika useme imekufa.Tanganyika ilikufa mwaka 1964 na hatafufuka. 95% ya wanaoishi sasa wamezaliwa ndani ya Tanzania, it doesn't make sense kulilia jina ambalo haliwahusu.
I am a proud Tanzanian
Historia huwa haifutiki, zaidi sana hujirudia tu.Tanganyika ilikufa mwaka 1964 na hatafufuka. 95% ya wanaoishi sasa wamezaliwa ndani ya Tanzania, it doesn't make sense kulilia jina ambalo haliwahusu.
I am a proud Tanzanian
Kasome tu katiba ya JMT uone kwa nini ZNZ ipo? Na ipo kama nini?Zanzibar ilizikwa lini?
Tanganyika ilikufa kwa kuunda Tanzania ila Zanzibar ni sehemu ya muungano yenye special autonomy (soma kwa kuelewa special autonomy).Acha unafiki basi, unawezaje kusema Tanganyika ilikufa angali Zanzibar bado ipo na inajitambulisha kwa utaifa wake. Yaani Zanzibar iliyoungana na Tanganyika kuipata Tanzania iwepo ila Tanganyika useme imekufa.
Labda kama umekufa wewe, sawa.