mauaji yapo TARIME na yale ya maalbino huko Tananyika.Yale mauaji ya 64 ndio yalioleta Jamhuri
Duh! hapa umeamua kuwa-provoke wazenj why?..Zanzibar ni nchi iliyoungana na nchi inayoitwa Tanganyika kwa mambo maalum ikiwemo uliyoyataja kwa faida ya nchi hizi mbili .. ..Wimbo huo utaimbwa hapo nje ya jengo la kusanyiko la genge pekee . Wimbo hauwezi kuvuka mipaka . Mkuu wa Mkoa ambaye ni Rais huko hawezi kuibiwa wimbo huo .Hata Passport ambacho kitu muhimu , pesa na jeshi .Kweli mko gizani nyie . Poleni sana . Endeleeni kuimba .
Nitawaona kama Nchi mkianza na pesa yenu, Passport yenu, Jeshi la polisi lenu, Amiri Jeshi mkuu wenu , nk
Kuwa na wimbo hakumaanishi kwamba mnakua taifa, hata shuleni tulikua tuna wimbo wa shule lakini umuhimu wa nyimbo zile ulikua unaishia palepale shuleni, hata tulipokua tukienda Umiseta tukua hatuwezi kuimba wimbo wa shule yetu.
Wimbo huu wa Zanziba ni kichekesho tu na ni sawa tu na wimbo wa shule maana hauwezi kuvuka mipaka ya Zanzibar. Kama kweli una maana wautumie wanapokwenda nje ya nchi ili tujue kua una maana, Otherwise ni sawa na wimbo wa shule tu...tena shule ya chekechea.
Acheni kushangilia wimbo wa chekechea
Wimbo huo utaimbwa hapo nje ya jengo la kusanyiko la genge pekee . Wimbo hauwezi kuvuka mipaka . Mkuu wa Mkoa ambaye ni Rais huko hawezi kuibiwa wimbo huo .Hata Passport ambacho kitu muhimu , pesa na jeshi .Kweli mko gizani nyie . Poleni sana . Endeleeni kuimba .
Nitawaona kama Nchi mkianza na pesa yenu, Passport yenu, Jeshi la polisi lenu, Amiri Jeshi mkuu wenu , nk
Siwezi kuonea wivu watu walioamua kujifurahisha kwa kuimba nyimbo, Waache waimbe kama inawapa raha.October,
Wivu tu!!!!
si ndoto tena...sasa kweli.I have a dream. A dream that one day the Tanzania union will be broken. That Tanganyika will come again and that Zanzibar will be fully autonomous. I have a dream. That a discussion will be conducted and then a new Union will be made, which will be transparent to both sides and will be formed on acceptance by both parties. That someone from Karagwe will be proud to be associated with Zanzibera and Someone from Chakechake will feel he belongs to Rombo. I have a dream. Then Tanzania will be able to convince other African states to form proper African Union. I have a dream.
Ww bado unaishi karne ya 20, hii katiba ya TANU ya 1977,Zanzibar hatuitumii hata kumuapisha mjumbe wa nyumba kumi, ww baki nayo...sisi wenzako Mungu ametubarikia....sote tunashangiria....Msitoane macho......someni katiba....
2.-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la
Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni
pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania
inapakana nayo.
(2) Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali
ya Jamhuri ya Muungano au Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Rais aweza kuigawa Jamhuri ya Muungano katika
mikoa, wilaya na maeneo mengineyo, kwa kufuata utaratibu
uliowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na
Bunge: Isipokuwa kwamba Rais atashauriana kwanza na Rais
wa Zanzibar kabla ya kuigawa Tanzania Zanzibar katika
Mikoa, Wilaya au maeneo mengineyo.
Mnaulizwa huo wenu nyinyi watanganyika upo wapi?Siwezi kuonea wivu watu walioamua kujifurahisha kwa kuimba nyimbo, Waache waimbe kama inawapa raha.