Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Aug 22, 2025 #1 Wakati TBC Iko live kuna MWANAMAMA ANAREKODI video Hana utulivu kabisa wenzake wote wametulia yeye anajiselfie hao ndio watu wa ccm wasioogopa hata itifaki ya Taifa.
Wakati TBC Iko live kuna MWANAMAMA ANAREKODI video Hana utulivu kabisa wenzake wote wametulia yeye anajiselfie hao ndio watu wa ccm wasioogopa hata itifaki ya Taifa.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Aug 22, 2025 #2 Ngoja yaje Madingi ya Mbinguni , yampe adabu vilivyo maana anaonekana hana miiko ya kazi.. 🙂
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Aug 22, 2025 Thread starter #3 Nyafwili said: Ngoja yaje Madingi ya Mbinguni , yampe adabu vilivyo maana anaonekana hana miiko ya kazi.. 🙂 Click to expand... Umenena vema yule washampa onyo ndio maana kamera zimeondolewa ili afinywe kimyakimya na hayo Madingi ya Mbinguni yatadili nae.
Nyafwili said: Ngoja yaje Madingi ya Mbinguni , yampe adabu vilivyo maana anaonekana hana miiko ya kazi.. 🙂 Click to expand... Umenena vema yule washampa onyo ndio maana kamera zimeondolewa ili afinywe kimyakimya na hayo Madingi ya Mbinguni yatadili nae.