Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana hayo maneno kwenye huo wimbo.Siyo Mzuri!
Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika.
Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili?
Siyo Mzuri!