Umojaaaaa Member Joined Jun 8, 2018 Posts 19 Reaction score 33 Sep 10, 2020 #1 Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
Akili 7 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 731 Reaction score 1,424 Sep 10, 2020 #3 Watasema juhudi za jiwe [emoji16][emoji16]
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Sep 10, 2020 #4 Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili?
Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili?
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Sep 10, 2020 #5 Missile of the Nation said: Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili? Click to expand... Nimeshangaa sana hayo maneno kwenye huo wimbo.
Missile of the Nation said: Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili? Click to expand... Nimeshangaa sana hayo maneno kwenye huo wimbo.
IAfrika JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 280 Reaction score 222 Sep 11, 2020 #6 Wimbo wa Afrika Mashariki ni mzuri kushinda wa Umoja wa Afrika
Umojaaaaa Member Joined Jun 8, 2018 Posts 19 Reaction score 33 Sep 11, 2020 Thread starter #7 Ni wimbo wa taifa wa Afrika. Kuna wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki pia kwa kiswahili
Umojaaaaa Member Joined Jun 8, 2018 Posts 19 Reaction score 33 Sep 11, 2020 Thread starter #8 Missile of the Nation said: Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili? Click to expand... Maneno ni tafsiri ya wimbo wa taifa wa Umoja wa Afrika kwa kiingereza
Missile of the Nation said: Siyo Mzuri! Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika. Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili? Click to expand... Maneno ni tafsiri ya wimbo wa taifa wa Umoja wa Afrika kwa kiingereza