jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,365
Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!
*_Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?" Mme,"ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama_*