maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Mkuu hebu cheki http://en.wikipedia.org/wiki/UEFA_anthem
jaman wadau naomba mnifahamishe ule wimbo unakuwaga kama soundtrack au backvocal? kwenye mashindano ya uefa champions league ni wa nani umetungwa na nai na unaimbwa lugha gani..nimejaribu kutafuta kutokea mwaka 2001 bado sijafaham najua hapa jf kuna wataalam naomba wanisaidie kwenye hili please... nilidhani ni wa freddy mercury yule mzanzibar wa queens lakin sio
SHEMEJI YETU UPO DIIP kweli kweli!unadizeevu dadaetu!wowa shem wowa!Wimbo umetungwa na Tony Britten mwaka 1992 na kile kipande unachokisikia wakati wa mechi(chorus) kimeimbwa kundi la Academy of St. Martin in the Fields la Uingereza...
Wimbo umeimbwa katika lugha 3 zinazotambuliwa na UEFA(Official languages) ambazo ni Kifaransa,Kijerumani na Kiingereza....Msahairi ya wimbo wenyewe ni haya hapa chini
Ce sont les meilleures équipes
Es sind die allerbesten Mannschaften
The main event
Die Meister
Die Besten
Les grandes équipes
The champions!
Une grande réunion
Eine grosse sportliche Veranstaltung
The main event
Ils sont les meilleurs
Sie sind die besten
These are the champions
Die Meister
Die Besten
Les grandes équipes
The champions!
Hapo kwenye bold ndo kipande kinachoimbwa kabla na baada ya mechi na pia wakati wa TV Commercials
SHEMEJI YETU UPO DIIP kweli kweli!unadizeevu dadaetu!wowa shem wowa!
MACHANGO WANGU NI SH 50,000.00
muhasibu atakuwa nan?
WOWA shemeji WOWAA!kama mimi ni mwenyekiti nitaongeza pledge!ila huyo mhasibu huyo........!anywaysTeh teh...Nawowa aisee...Mhasibu atakuwa Masaki...Wewe Mwenyekiti
WOWA shemeji WOWAA!kama mimi ni mwenyekiti nitaongeza pledge!ila huyo mhasibu huyo........!anyways
Pia haka kawimbo mara ya kwanza kukadaunlodi nikajua nimeingia chaka...coz kwa jinsi unavyoanza huwezi kuuzania kama ndo ule ambao unawapaga watu jambajamba wanapousikiaga.
Barantanda kasahau kueleza kitu cha Muhimu ktk ule wimbo.
Amesahau kuwajulisha wazalendo kuwa wimbo ule upo ktk mahadhi ya Pop, chakacha, country, jazz, yenu, nk nk nk nk...
Ok wimbo ule uko katika mahadhi ya Opera.
Opera ni aina za nyimbo zinazoaminika kuwa ndo nyimbo ngumu zaidi kuimba.
Na mfalme wa nyimbo hizo ni Hayati Luciano Pavarotti.
Watu wa soka weeengi ulimwenguni wamezoea kuuita wimbo ule kuwa ni wimbo wa AC Milam.
Coz inaaminika kuwa kabla ya mechi kuanza timu zinapokuwa zinatoka vyumbani na kwenda kujipanga uwanjani wachezaji wa Milan enzi hizo wakiongozwa na Paolo Maldini, seedorf, pirlo, cafu, stam, ambrosini, rui costa, pippo the poucher, shevchenko, gattuso na dida basi inakuwa kama vile wanapigiwa wao yani.
Pia napenda kuliweka wazi hili kuwa msimu huu wa ligi ya serie A ni wazi kuwa AC Milan haikuanza vizuri.
Na ktk hili makamu wa rais wa klabu hii muheshimiwa Adriano Galliani alikuwa anaingia na redio kwenye chumba cha mapumziko ktkt ya mechi huku redio ikipiga wimbo huu.
yeye aliamini kuwa AC huwa wako makini sana ktk mashindano ya ulaya. So wanapousikia wimbo huo ni wazi kuwa watakuwa makini na katika hilo mzee huyu alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuamsha morari ya timu.
Kisha baada ya kukaa sawa aliachana na mbinu ile.
Forza Milan...
Nilisahau kukushkuru mwaka ule wa 2010...lkn leo miaka 9 imepita nakushkuru...by the way mkuu upo?Wimbo umetungwa na Tony Britten mwaka 1992 na kile kipande unachokisikia wakati wa mechi(chorus) kimeimbwa na kundi la Academy of St. Martin in the Fields la Uingereza...
Wimbo umeimbwa katika lugha 3 zinazotambuliwa na UEFA(Official languages) ambazo ni Kifaransa,Kijerumani na Kiingereza....Mashairi ya wimbo wenyewe ni haya hapa chini
Ce sont les meilleures équipes
Es sind die allerbesten Mannschaften
The main event
Die Meister
Die Besten
Les grandes équipes
The champions!
Une grande réunion
Eine grosse sportliche Veranstaltung
The main event
Ils sont les meilleurs
Sie sind die besten
These are the champions
Die Meister
Die Besten
Les grandes équipes
The champions!
Hapo kwenye bold ndo kipande kinachoimbwa kabla na baada ya mechi na pia wakati wa TV Commercials
Duh! KitamboNilisahau kukushkuru mwaka ule wa 2010...lkn leo miaka 9 imepita nakushkuru...by the way mkuu upo?
Pia haka kawimbo mara ya kwanza kukadaunlodi nikajua nimeingia chaka...coz kwa jinsi unavyoanza huwezi kuuzania kama ndo ule ambao unawapaga watu jambajamba wanapousikiaga.
Barantanda kasahau kueleza kitu cha Muhimu ktk ule wimbo.
Amesahau kuwajulisha wazalendo kuwa wimbo ule upo ktk mahadhi ya Pop, chakacha, country, jazz, yenu, nk nk nk nk...
Ok wimbo ule uko katika mahadhi ya Opera.
Opera ni aina za nyimbo zinazoaminika kuwa ndo nyimbo ngumu zaidi kuimba.
Na mfalme wa nyimbo hizo ni Hayati Luciano Pavarotti.
Watu wa soka weeengi ulimwenguni wamezoea kuuita wimbo ule kuwa ni wimbo wa AC Milam.
Coz inaaminika kuwa kabla ya mechi kuanza timu zinapokuwa zinatoka vyumbani na kwenda kujipanga uwanjani wachezaji wa Milan enzi hizo wakiongozwa na Paolo Maldini, seedorf, pirlo, cafu, stam, ambrosini, rui costa, pippo the poucher, shevchenko, gattuso na dida basi inakuwa kama vile wanapigiwa wao yani.
Pia napenda kuliweka wazi hili kuwa msimu huu wa ligi ya serie A ni wazi kuwa AC Milan haikuanza vizuri.
Na ktk hili makamu wa rais wa klabu hii muheshimiwa Adriano Galliani alikuwa anaingia na redio kwenye chumba cha mapumziko ktkt ya mechi huku redio ikipiga wimbo huu.
yeye aliamini kuwa AC huwa wako makini sana ktk mashindano ya ulaya. So wanapousikia wimbo huo ni wazi kuwa watakuwa makini na katika hilo mzee huyu alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuamsha morari ya timu.
Kisha baada ya kukaa sawa aliachana na mbinu ile.
Forza Milan...
Bala Is Always Here.....Nilisahau kukushkuru mwaka ule wa 2010...lkn leo miaka 9 imepita nakushkuru...by the way mkuu upo?