Wimbo wa Young D (Siyo mchoyo ), mbona kama kamuimba Shilole

Wimbo mixing mbovu, quality mbaya. period !
 
Huo wimbo si level za young d hausikiki kabisa wanaimba nini.

~young D nayemjua ni wa Dada Huyo anaolewa,Goma la utete,tunapeta ila huyu wa jux amesanda!
 
Huo wimbo si level za young d hausikiki kabisa wanaimba nini.

~young D nayemjua ni wa Dada Huyo anaolewa,Goma la utete,tunapeta ila huyu wa jux amesanda!

Unajua dogo toka atoe ngoma ya dada anaolewa na kukubalika sana ila bado hajajua tu nini watu wanataka, mule kuna full uswazi halafu ile nyimbo haichuji, sasa siku izi anajifanya na yeye justin beiber kama wimbo wake wa rockstar video, yan anajiona yupo kwa obama
 
ni namba ya kademu kake kale ka mikocheni business nitakaulizia jina la huyu dogo halafu nitaku pm ili roho yako itulie

Mi nimeuliza jina hayo mengine ni yako
 

Ila dogo wa ukweli anahamasisha anawazidi wote hao wanaojifanyaga mahandsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…