Wimbo wa Young D (Siyo mchoyo ), mbona kama kamuimba Shilole

Ila dogo wa ukweli anahamasisha anawazidi wote hao wanaojifanyaga mahandsome

Pesa haimkatai mtu, nimeishi nae kimar kabla hajatoka, alikuwa mweusi kakonda ila sasa iv katakata ki ukwel maisha yamekubali
 
Dogo kalewa misifa labda shishi alimbemenda mpaka IQ imeshuka ya dogo!
 
Labda kaondoka jana mkuu

Wakubwa mmetoka Nje ya mada kwa Sisi tuliozoea jibu insha..ila inaweza kua kweli kamwambia shilole ..ps bado yupo kwa max MBD Aka million dollar boy sijui wanajiita
 
Wakubwa mmetoka Nje ya mada kwa Sisi tuliozoea jibu insha..ila inaweza kua kweli kamwambia shilole ..ps bado yupo kwa max MBD Aka million dollar boy sijui wanajiita

Ndo maana nikamwambia matumbo labda kaondoka jana apo kwa max, maana mimi napajua hadi ndan wanapoishi pale mbezi beach shule, tena ngoja ninyamaze maana najijua ntaanza kuropoka hata visivyoropokeka maana mdomo hui nao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…