masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kipindi kile ule wimbo watu walizani ni rahisi sana kuwa na mpenzi ukiwa fukara sana.
Hivi inawezekana eeeh
tia mistari kidogo
.......na alitoa elfu 10 na alikua anataka dafu
oooh no keep chenji una mawazo nitakufariji weekend
INAWEZEKANA KWELI?
Hivi inawezekana eeeh
tia mistari kidogo
.......na alitoa elfu 10 na alikua anataka dafu
oooh no keep chenji una mawazo nitakufariji weekend
INAWEZEKANA KWELI?