barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Akili the brain
teh teh
Eh! Hivi mzee wa bongo bhangra ni mzenji?? Zawadi ya Zenji labda Zanzibaaa aka A.T.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili the brain
teh teh
Sikiliza vicky,napenda tuwe marafiki,lakin hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki,hata wazazi wako naamini hawataafiki,tajiri na tajiri masikin sithaminiki.tafuta kibopa mwenzako ili usishushe hadhi yako.mimi sistahili hata kuwa kijakazi wako.....sikiliza jay ustamke maneno hayo........
dah..!! Wazanzibar je??
unaniona wa juzi eeh nikupe mistariiii
Nyambizi nakupenda japo mkubwaaaa
mateso unayonipa usiku ni makubwa
TUMALIZIE KWANZA ZALI LA MENTALI THENI HUU NITAKUPA MISTARI
mambo swadakta niko na vicky ndo ma wife kidume nang'aa wanajigonga shenz type
Nasubiri uje nao
nilipokua arostle mlinikwepa kama ukoma
mambo juu ya mstari kunisalim mnaona noma
Kwa kweli ile ngoma nimeihifadhi kama kumbukumbu na huwa naisikiliza kila week. Naingia Dar kwa mara ya kwanza kabisa nakutana na ngoma hiyo Radio One na kibwagizo, RADIO ONE, STEREOOOOOOOOOOO! Nilihisi kama nimefika Ulaya.
Mzee yusuph
sasa hivi napeta nabadili gari full kipupwe walionicheka wanatamani ardhi ipasuke
Nikajua nitaopoa kimwana fasta.hahahahah una hatari wewe ndo ulikua unaingia mjini hahahahahah
ukawa unasema na wewe utapata zali
......?....vicky ni jay na jay ni vick mustarehe
kutoka ndani ya dhiki sa kila siku sherehe
hapo kwenye desh ni hivi,, naelekea kilengeni kuwapa dili machiz wangu tena mara kwa mara siwezi kuacha asili yangu
Nikajua nitaopoa kimwana fasta.
upewe BMW na kuamishiwa mbezi
thubutuuuuuuuu....ukakutana na nini???tia story