Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

jamani jay we love him lakini nahis management tu
ingetakiwa awe na mpunga mrefu sana

dah mapromota walimponza those days kuna ule wimbo wake unaitwa jina langu amesema dhuluma za mapromota
 
jamani jay we love him lakini nahis management tu
ingetakiwa awe na mpunga mrefu sana

kuna nyimbo yake inaitwa Bongo dsm inaishi hadi leo

sasa usijiroge ukasikiliza nikusaidiaje
au Ndivyo sivyo wewe acha tu
 
kuna nyimbo yake inaitwa Bongo dsm inaishi hadi leo

sasa usijiroge ukasikiliza nikusaidiaje
au Ndivyo sivyo wewe acha tu

Bongo Dsm na jay D hiyo, dah! Nikusaidiaje imesimama balaa! Nakumbuka enzi hizo imetoka niliendaga Nairobi-Ongata Rongai kama mwezi hivi,nikusaidiaje ilikuwa inasumbua kwenye matatuuu balaa.
 
dah mapromota walimponza those days kuna ule wimbo wake unaitwa jina langu

uwenda
....promota anabip naamua kumpigia bila aibu anajisifu...

NIAMBIE MAPROMOTA WALIMUARIBIA VIP
 
ndio. topic mpya

ingia kwenye jukwaa unalotataka kuposti uzi wako utakuta maelekezo.. kama unatumia jf application login kisha ingia kwenye jukwaa unalotaka kuposti halafu bonyeza menu yake kisha utakuta new topic au kama unatumia wapsite ukifika kwenye jukwaa juu kabisa utaona new topic
 
kuna nyimbo wapo watatu solo prof na afande kabla hujatunga nyimbo ya hip hop unatakiwa uisikilize kwanza maana ni MTAZAMO hasa

aisee ile ndio ngoma ya hiphop haswaa maana unaweza kunywa chai kwa mluzi kama utakurupuka
 
kuna nyimbo yake inaitwa Bongo dsm inaishi hadi leo

sasa usijiroge ukasikiliza nikusaidiaje
au Ndivyo sivyo wewe acha tu

naufaham huo

na ndivyo sivyo kaimba na josee???kamilioni
 
Back
Top Bottom